SOUL FOOD
Mnatublind sana ile future tuliona ikiwa bright sahii inaendelea kuwa deamer
Na we ain't infected na any diseases so sielewi mbona mnatupima
Ati power to the people na si ati ni kila mtu ako na access ya stima
Still hustling on how to gather them votes na their roads to power
Ndio wakiweza next agenda shamba kuzigawa
Hii leadership ndio our disease na still nahope kuna mtu an a research hiyo dawa
Kenyans tumekuwa ripped off everything hata our pride
Forcing their way up leadership yet none of them anaweza kutuguide
Leaders come from God sa sijui ni law gani mmekuwa mkiabide
Then ndio tough times zikija in other countries mnaenda kuhide
Agric sector Imeasahaulika lands zimegeuka brown ungethani zimekuwa dyed
Fixed on the same spot Kenya hatusongi kumbe kwa post ya corruption
tulishakuwa tied
Sa si ni hiyo change bado tunasaka
At least mayouth waache kuwa lit na Kenyan motto ya pamoja tumakesure
Imewaka
Waache kustone at least economy pia iwache kudrag
Na kwa hii disease as Kenyans we all face Christ ndio the only required drug
@iznamiq