Vagabond Multilingual Journal Spring 2014 | Page 32
Vyakula vya Keny na Amerika
Hamjambo wanafunzi, shikamoo Mwalimu. Habari za asubuhi? Jina langu
ni Patrick. Ninatoka Berkeley Ca, na sasa, ninakaa Santa Rosa Ca. Mimi ni
mwanafunzi hapa, katika chuo kikuu cha Berkeley.
Leo asubuhi, ninataka kusema kuhusu(about) vyakula vya Kenya na
vyakulu vya Amerika. Kwa nini? Kwa sababu ninataka kusafiri Kenya na
sijui kama(if) nitapenda chakula huko(there), au katika Afrika Mashariki.
Sisafiri nje ya nchi ya Amerika. Mimi ni mtu wa nyumbani.
Pia, Mtoto wangu Ryan anataka kusafiri na mimi, na Ryan anajua chakula ni
muhimu(important) sana, na tunakuwa wasiwasi hatupendi chakula cha
Kenya. Nilimwambia Ryan “usijali”, “usijali”, kwa sababu katika kitabu
chetu cha Kiswahili, nilisoma kwamba(that) vyakula vya kenya ni kama
vyakula vya Amerika.
Kwa mafano, Wakenya wanakula ugali (poridge), sukuma wiki (Greens),
kachumbari (tomatos and onions and chili peppers), ikwa (yams), samaki
(fish), chapati (bread), ngwaci (sweet potato), nyama choma (grilled meat),
gweno (chicken).
Vyakula hivi(these) ni kama(like) vyakula vya Amerika, si hivyo?
Wamarekani wanapenda kula samaki, nyama choma, chapati, na sukuma
wiki pia. Watu wa Amerika ni sawa na watu wa Kenya. Kwa hivyo,
ninajua mimi na mtoto wangu tutapenda kula vyakula vya Kenya.
Asante Sana
32