Vagabond Multilingual Journal Spring 2014 | Page 12
Mama Abdul :
Salama wewe unaweza kuolewa na mwana wetu
Rukia :
Babaa !
Baba Rukia :
Hawa wawili wanapendana
Mama Rukia :
Hapana kwa nini unasema ? wewe si mwerevu.
Baba Abdul :
Neema nambari yako ya simu ni ?
Neema :
(Mwanahabari anajifanya hakusikia swali la Baba Abdul.Aanamwalika
mgeni mgeni kutoka kwenye) Sawaa tuna mgeni aliye na jambo la kusema
Tausi:
Nina swali. mmh ! Ninafikiri watu hawa wawili ni lazima kuwa pamoja
kwa sababu wanapendana na si kwa sababu wanatoka makabila tofauti.
Angalia wazazi wenu wanagombana kila wakati na wanatoka kabila moja.