CHANGE
Yaani imekuwa hard kuelewa how ni aje ile
sauti ya change donda na mama mboga
wanawezaskia ni customers wakiziitisha
Na their million plus one body guards
hawawezishikika
Cases kwa courts judges wako paid off sa
hawawezitishika
Good wanasema ziko imported ni poor
quality haziwezipikika
Grass roots bado wanateseka
While at the top pesa za country kwa your
accounts mnaendelea kuziweka
Shamba nazo kila mtu anaibiwa zaidi ya acre
All this tutaacha hapa in the life after
kuzeeka
Na hii gava imejaa uchafu tungeziwash off
tukitaka but funny enough bei ya detergents
pia zinapanda
Taxes nazo zinaboom thinking of their after
returns but wanasahau ule mathe anahustle
kwa kibanda
Hizi vitu ndogo zinatumess si funny
anymore mbona hatuzioni
All your manifestos tumeziskia sana
msizirudie tena coz now we yawning
Path to the promised land iko just ahead of
us but because of the wrong leaders bado we
strolling
Wanaexpect tuweze kukimbiza our dreams
na wanatunyima enough exposure so we still
crawling
Pretending kuwa wanaona brighter futures in
our country yet they ain't dreamers
Hustling hard uliza our shoes, yet hamtujali
mnatry kuona nani atakuwa fast kuown that
latest beemer
Mnatublind sana ile future tuliona ikiwa
bright sahii inaendelea kuwa deamer
Na we ain't infected na any diseases so
sielewi mbona mnatupima
Ati power to the people na si ati ni kila mtu
ako na access ya stima
Still hustling on how to gather them votes
na their roads to power
Ndio wakiweza next agenda shamba
kuzigawa
Hii leadership ndio our disease na still
nahope kuna mtu an a research hiyo dawa
Kenyans tumekuwa ripped off everything
hata our pride
Forcing their way up leadership yet none
of them anaweza kutuguide
Leaders come from God sa sijui ni law gani
mmekuwa mkiabide
Then ndio tough times zikija in other
countries mnaenda kuhide
Agric sector Imeasahaulika lands
zimegeuka brown ungethani zimekuwa
dyed
Fixed on the same spot Kenya hatusongi
kumbe kwa post ya corruption tulishakuwa
tied
Sa si ni hiyo change bado tunasaka
At least mayouth waache kuwa lit na
Kenyan motto ya pamoja tumakesure
Imewaka
Waache kustone at least economy pia
iwache kudrag
Na kwa hii disease as Kenyans we all face
Christ ndio the only required drug
@iznamiq