OUR PLANET
Introductions
Greetings
Hello
Jambo
My name is...
Ninaitwa / Jina langu ni...
Good morning
Habari ya asubuhi
What is your name?
Unaitwa nani?
Good afternoon
Habari ya mchana
Where are you from?
toka wapi?
Good evening
Habari ya jioni
I come from...
Ninatoka...
Good night
Usiku mwema
How much money?
Shillingi ngapi?
Don't worry
Usijali
Safe journey
Safari njema
Water
Maji
Greetings
Thank you
Do you speak English?
Unajua kizungu?
I love you
Nakupenda
Pardon
Samahani
Excuse me
Samahani
Good / Fine
Sawa / Sawasawa
Can I please have...
Tafadhali nipatie...
Listen
Sikiza
Please
Tafadhali
What?
Nini?
You are welcome
Karibu
Why?
Kwa nini?
Sorry
Pole
Where?
Wapi?
No problem!
21
Asante
Hakuna matata!
Who?
Nani